Katakombu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Katakombu
Remove ads

Katakombu (kutoka neno la Kilatini catacombae) ni mahandaki yaliyotengenezwa chini ya ardhi kwa mazishi na kwa malengo ya kidini. Kwa namna ya pekee yanafikiriwa yale ya Dola la Roma.[1]

Thumb
Maandamano ndani ya katakombu la Mt. Kalisti mjini Roma.
Thumb
Makaburi ndani ya Katakombu la Domitila, Roma.
Thumb
Katakombu la Paris.
Thumb
Yesu na Mitume katika katakombu la Domitila, Roma.
Thumb
Alama Chi-Rho pamoja na Alfa na Omega, Katakombu la Domitila, Roma.

Makatakombu yote ya Roma yalipatikana nje ya ngome ya mji, kwa sababu haikuruhusiwa kuzika ndani yake,[2] yakiwapa Wakristo waliodhulumiwa na serikali mahali pa kufaa kwa kuheshimu wafiadini wao. Walikuwa wakikutana kusali katika nyumba za watu binafsi, au kwenye katakombu.

Katika mahandaki hayo inapatikana michoro ya ukutani ambayo ni kati ya kazi za kwanza za sanaa ya Kikristo.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads