Kushukia kuzimu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kushukia kuzimu
Remove ads

Kushukia kuzimu ni fundisho la imani ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo la kwamba Yesu Kristo, baada ya kufa msalabani siku ya Ijumaa kuu na kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa Pasaka, alishukia kuzimu kwa nguvu ili kutoa roho za waadilifu zilizokuwa zikisubiri ukombozi kutoka kwake.[1]

Thumb
Kristo Kuzimu.
Thumb
Yesu akimshika mkono Adamu, mwaka 1504 hivi.
Thumb
Kushukia kuzimu, mchoro wa karne ya 14 katika Petites Heures de Jean de Berry.

Msingi katika Biblia ya Kikristo ni hasa dondoo la Waraka wa kwanza wa Mtume Petro 3:18-22 na Waraka wa Mtume Paulo kwa Waefeso 4:9[2] This near-absence in Scripture has given rise to controversy and differing interpretations.[3].

Katika karne za kwanza za Kanisa, imani hiyo inakiriwa na Kanuni ya Imani ya Mitume (Italia) na Ungamo la Imani la Atanasi (Misri). Ilifundishwa pia na Melito wa Sardi, Tertuliani, Hipoliti wa Roma, Origen, Ambrosi n.k.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads