Leobasi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Leobasi (pia: Leubatius, Leubais; aliishi karne ya 6 hivi) alikuwa mmonaki, ambaye Orso wa Loches[1], mlezi wake, alimweka kuwa abati aongoze monasteri mpya, alipoendelea kwa utakatifu sana hadi uzee mkubwa karibu na Tours, leo nchini Ufaransa[2][3].
Habari zake ziliandikwa na Gregori wa Tours.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads