Lidano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lidano, O.S.B. (Antinum, 1026 - Monte Cassino, 1118[1]) alikuwa abati Mbenedikto anayesifiwa kwa kukausha madimbwi ya Lazio kusini, Italia, na kwa kuanzisha[2] monasteri ya Sezze katika Dola la Papa[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads