Lisini wa Angers
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lisini wa Angers (kwa Kilatini: Licinius; kwa Kifaransa: Lezin, Lésin; 540 hivi - 610 hivi[1]) alikuwa kwanza mwanasiasa na mtawala, halafu mmonaki, na hatimaye askofu wa 14 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 592 hivi[2], akianzisha monasteri alimozikwa.
Papa Gregori I alimuandikia awakaribishe wamonaki waliotumwa kuinjilisha Uingereza. [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads