Lubensi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lubensi (kwa Kilatini na Kijerumani: Lubentius; 300 hivi - Kobern, karibu na Koblenz, katika Ujerumani wa leo, 370 hivi) alikuwa padri[1] mfuasi wa Martino wa Tours aliyetumwa na askofu Masimino wa Trier kama mmisionari kwenye bonde la mto Lahn[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads