Lusido
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lusido, O.S.B. (Aquara, Campania, 960 hivi - Cassino, Lazio, 5 Desemba 1038) alikuwa abati nchini Italia aliyeanzisha monasteri ya Kibenedikto[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 8 Januari 1880.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads