Magamaga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Magamaga
Remove ads

Magamaga ni ndege wadogo wa jenasi Prinia katika nusufamilia Priniinae ya familia Cisticolidae. Wanafanana na videnenda lakini mkia wao ni mrefu zaidi na hawana michirizi mizito. Karibu na nusu ya spishi hutokea Asia lakini spishi zote nyingine hutokea Afrika. Hawa ni ndege wa maeneo wazi yenye nyasi ndefu na vichaka. Hula wadudu. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya nyasi au kichaka karibu na ardhi. Mara nyingi tago limefunika. Jike huyataga mayai 2-5.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za Asia

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads