Malaika

From Wikipedia, the free encyclopedia

Malaika
Remove ads

Malaika katika imani ya dini mbalimbali, kama vile Uyahudi, Ukristo na Uislamu, ni kiumbe wa kiroho tu anayeweza kutumwa na Mungu kwa binadamu.

Thumb
Malaika wa uhuru.
Thumb
Malaika aliyejeruhiwa, mchoro wa Hugo Simberg, 1903.

Kwa umbile lake hawezi kujulikana na hisi za mwili wetu.

Katika Biblia hawa tu wanatajwa kwa jina maalumu: malaika Mikaeli, malaika Gabrieli na malaika Rafaeli (huyo katika Deuterokanoni tu)[1].

Katika Uislamu ni kiumbe chepesi ambacho kimeumbwa kwa nuru, nacho huwa hakanyagi chini kama mwanadamu, bali huelea juu au kuketi ndani ya moyo wa mwanadamu.

Remove ads

Katika Biblia

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads