Mariana wa Molokai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mariana wa Molokai au Marianne Cope (jina la awali kwa Kijerumani likiwa Maria Anna Barbara Koob; Heppenheim, Hesse, 23 Januari 1838 - Kalaupapa, Hawaii, leo nchini Marekani, 9 Agosti 1918) alikuwa mtawa wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.



Alipata umaarufu kwa kuhudumia wakoma hadi kifo chake, mmojawao Damiano wa Molokai [1].
Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 2005 na mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Januari[2], au 15 Aprili au 9 Agosti[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
