Marselo wa Paris

From Wikipedia, the free encyclopedia

Marselo wa Paris
Remove ads

Marselo wa Paris (Paris, Ufaransa, karne ya 4 - Paris, 1 Novemba 430) alikuwa askofu wa tisa wa mji huo [1].

Thumb
Sanamu ya Mt. Marselo, Notre Dame de Paris, Ufaransa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads