Maurili

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maurili
Remove ads

Maurili (pia: Maurilius, Maurille; Milano, Italia, karne ya 4 - Angers, leo nchini Ufaransa, 453) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 423, akijitahidi kufuta ushirikina wa Kipagani mashambani kama alivyoelekezwa na Martino wa Tours ambaye alikuwa amempa upadirisho na kazi ya uchungaji [1].

Thumb
Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu [2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba [3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads