Mederiki

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mederiki
Remove ads

Mederiki (pia: Merri; Autun, karne ya 7 Paris, 29 Agosti 700) tangu ujanani alikuwa mmonaki mwenye bidii; baada ya kupata upadrisho na cheo cha abati wa Autun, hatimaye aliishi hadi kifo chake kama mkaapweke katika chumba kidogo karibu na mji wa Paris [1].

Thumb
Mt. Mederiki.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka siku ya kifo chake[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads