Mfungo wa Krismasi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mfungo wa Krismasi
Remove ads

Mfungo wa Krismasi ni siku za toba zinazozingatiwa na Kanisa la Mashariki katika kuandaa sherehe ya Krismasi.[1]

Thumb
Mama wa Mungu kuingia hekaluni, sikukuu inayoangukia kati ya mfungo wa Krismasi (picha ya Kirusi ya karne ya 16.

Unafanana na Majilio katika Kanisa la Magharibi, isipokuwa unachukua siku 40 na kukazia utukufu wa umwilisho wa Mwana wa Mungu.

Mfungo unaanzia tarehe 15 Novemba na kuendelea hadi tarehe 24 Desemba.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfungo wa Krismasi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads