Mkoa wa Caprivi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Caprivi
Remove ads

Mkoa wa Caprivi ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 79,852 kwenye eneo la 19,532 km². Mji mkuu ni Katima Mulilo.

Thumb
Mahali pa Caprivi katika Namibia

Jiografia

Miji mikubwa ni pamoja na Katima Mulilo na Kabe.

Zambezi na Kwando ni mito muhimu zaidi.

Picha za Caprivi


Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Caprivi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Mikoa ya Namibia ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads