Mkoa wa Khomas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Khomas ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 250,305 (2001) kwenye eneo la 36,805 km². Mji mkuu ni Windhoek.

Jiografia
Miji mikubwa ni pamoja na Windhoek na Katutura.
Swakop na Kuiseb ni mito muhimu zaidi.
Picha za Khomas
- Mlima Gamsberg
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Khomas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads