Mkoa wa Karas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Karas ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 69,677 kwenye eneo la 161,325 km². Mji mkuu ni Keetmanshoop.

Jiografia
Miji mikubwa ni pamoja na Keetmanshoop na Lüderitz.
Mto Fish na Oranje ni mito muhimu zaidi.
Picha za Karas
- Fish River Canyon
- Bandari ya Lüderitz
Tovuti za Nje
- Karas - Official Website Ilihifadhiwa 25 Septemba 2018 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads