Mkoa wa Erongo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Erongo ni mmoja kati ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia wenye wakazi 107,629 kwenye eneo la km² 63,720.

Mji mkuu ni Swakopmund.
Jiografia
Miji mikubwa ni pamoja na Walvis Bay na Swakopmund.
Swakop na Kuiseb ni mito muhimu zaidi.
Picha
- Cape Cross
- katika jangwa la Namib
Tovuti za Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Erongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads