Mkoa wa Oshana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Oshana ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 161,977 kwenye eneo la 5,290 km². Mji mkuu ni Oshakati.

Jiografia
Miji mikubwa ni pamoja na Oshakati, Ondangwa na Ongwediva.
Picha za Oshana
- Oshana Efundja
- Oshana Omatako
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Oshana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads