Mkoa wa Kavango
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Kavango ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 201,093 kwenye eneo la 43,418 km². Mji mkuu ni Rundu.

Jiografia
Miji mikubwa ni pamoja na Rundu na Nkurenkuru.
Picha za Kavango
- Maporomoka ya Popa
- Mto Okavango
Tovuti za Nje
- Kavango - Official Website Ilihifadhiwa 26 Juni 2011 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kavango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads