Morandi wa Cluny
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Morandi wa Cluny, O.S.B. (Worms, Ujerumani, 1050 hivi; Altkirch, leo nchini Uswisi, 1115), alikuwa padri ambaye, baada ya kuhiji Santiago de Compostela (Hispania), alijiunga na monasteri ya Wabenedikto wa Cluny (Ufaransa).


Morandi alitumwa na abati Hugo wa Cluny kwanza Auvergne, halafu karibu na Basel alipotawa hadi mwisho wa maisha yake[1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads