Morandi wa Douai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Morandi wa Douai (pia: Maurand, Maurant, Mauront, Morand, Maurontus; 634 - 5 Mei 702) alikuwa mmonaki shemasi nchini Ufaransa ambaye alianzisha monasteri ya Kibenedikto ya Breuil, akawa abati wake wa kwanza [1][2][3][4].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, sawa na wazazi wake, Adalbati na Rikitrude, na dada zake wote watatu, Klotsinda, Adalsinda na Eusebia wa Douai, mwenyewe akiwa mtoto wa nne na wa mwisho.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads