Mosul
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mosul (kwa Kiarabu الموصل, al-Mawṣil, el-Mōṣul; kwa Kikurdi مووسڵ, kwa Kiaramu ܡܘܨܠ, Māwṣil) ni mji wa Iraq kaskazini, kilometa 400 hivi mbali na Baghdad, kwenye ukingo wa magharibi wa mto Tigris, mkabala wa mji wa kale Ninawi uliokuwa kwenye ukingo wa mashariki.


Jiji lina wakazi 1,846,500 (2004)[1]wa makabila, dini na madhehebu mbalimbali[2][3][4].
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads