Msufi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Msufi
Remove ads

Misufi ni miti mirefu ya jenasi tatu katika familia Malvaceae ambayo yanazaa matunda yaliyojaa na sufi, nyuzi zinazofanana na pamba. Spishi nyingi zinatokea Amerika ya Kusini na ya Kati na Asia, lakini spishi kadhaa zina asili yao katika Afrika.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Remove ads

Spisha za Afrika

  • Bombax buonopozense, Msufi Magharibi
  • Bombax ceiba, Msufi Mwekundu
  • Bombax costatum, Msufi wa Saheli
  • Ceiba pentandra, Msufi Mweupe
  • Rhodognaphalon brevicuspe, Msufi Kondroti
  • Rhodognaphalon schumannianum, Msufi-mwitu au Msufi-pori

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msufi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads