Neno (Biblia)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Neno ni jina ambalo katika Agano Jipya Mtume Yohane anamwita hivyo Yesu Kristo ili kueleza asili yake ya Kimungu (Yoh 1:1) kabla ya kuzaliwa binadamu (Yoh 1:14) kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kutokana na Bikira Maria.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads