Papa Adeodato II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Adeodato II, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia tarehe 11 Aprili 672 hadi kifo chake tarehe 16 Juni 676[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Vitalian akafuatwa na Papa Donus.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads