Papa Donus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Donus alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Novemba 676 hadi kifo chake tarehe 11 Aprili 678[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina la baba yake lilikuwa Mauricius.
Alimfuata Papa Adeodato II akafuatwa na Papa Agatho.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads