Papa Boniface VI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Boniface VI alikuwa Papa kwa siku 15 (tarehe 11 hadi 26 Aprili 896) hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Formosus akafuatwa na Papa Stefano VI.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads