Papa Formosus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Formosus (takriban 816 – 4 Aprili 896) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Oktoba, 891 hadi kifo chake[1]. Kabla ya hapo alikuwa askofu wa jimbo la Porto, Lazio, Italia[2].


Alimfuata Papa Stefano V akafuatwa na Papa Boniface VI.
Maiti yake ilichimbuliwa na kunajisiwa na Papa Stefano VI katika Sinodi ya Maiti kwa sababu za kisiasa.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads