Papa Boniface IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Boniface IV, O.S.B. (takriban 550 – 8 Mei 615) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Agosti 608 hadi kifo chake[1]. Alitokea mkoa wa Abruzzi, Italia[2][3]. Baba yake alikuwa tabibu, jina lake Yohane.

Alimfuata Papa Bonifasi III akafuatwa na Papa Adeodato I.
Chini ya Papa Gregori I alikuwa shemasi mkuu[4].
Alistawisha umonaki na kugeuza Pantheon, hekalu la miungu yote mjini Roma, kuwa kanisa kwa heshima ya Bikira Maria na wafiadini wote[5][6].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads