Papa Eugenio II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Eugenio II alikuwa Papa kuanzia Februari/Mei 824 hadi kifo chake mnamo Agosti 827[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Paskali I akafuatwa na Papa Valentino.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads