Papa Eugenio I
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Eugenio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Agosti 654 hadi kifo chake tarehe 2 Juni 657[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Baba yake aliitwa Rufinianus.

Alimfuata Papa Martin I akafuatwa na Papa Vitalian.
Serikali ya Dola la Roma Mashariki ilimpitisha kwa kudhani atakubali kuunga mkono uzushi uliofundisha kuwa Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu, kumbe mapadri walimlazimisha kushika msimamo wa mtangulizi wake aliyepelekwa uhamishoni akafa huko [3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads