Papa Hyginus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Hyginus alikuwa papa kuanzia takriban 138 hadi kifo chake takriban 142/149[1]. Alitokea Ugiriki.

Alimfuata Papa Telesphorus akafuatwa na Papa Pius I.
Alipanga vizuri zaidi daraja takatifu na hasa huduma za chini pamoja na kupambana na uzushi wa Gnosi[2] hata kwa kutumia falsafa[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 11 Januari[4].
Remove ads
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads