Papa Benedikto IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto IV alikuwa Papa kuanzia Januari/Mei, 900 hadi kifo chake mwezi wa Julai 903[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Yohane IX akafuatwa na Papa Leo V.
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads