Papa Leo VII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Leo VII, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia mwezi Januari 936 hadi kifo chake tarehe 13 Julai 939[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Yohane XI akafuatwa na Papa Stefano VIII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads