Papa Stefano VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Stefano VIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Julai 939 hadi kifo chake mwisho wa Oktoba 942[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Leo VII akafuatwa na Papa Marinus II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads