Papa Leo VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Leo VIII alikuwa Papa kuanzia mwezi Desemba 963 hadi kifo chake mnamo Machi 965[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Yohane XII akafuatwa na Papa Benedikto V.
Leo VIII aliteuliwa na Kaisari Otto I wa Ujerumani mnamo Desemba 963 lakini hakupokewa vizuri kwa vile Papa Yohane XII, aliyelazimishwa kujiuzulu, alikuwa bado hai.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads