Papa Marinus II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Marinus II alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Oktoba au Novemba 942 hadi kifo chake mnamo Mei 946[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Stefano VIII akafuatwa na Papa Agapeto II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads