Papa Romanus

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Romanus
Remove ads

Papa Romanus alikuwa Papa kuanzia Julai/Agosti hadi Novemba 897[1]. Alitokea Gallese, Lazio, Italia[2].

Thumb
Papa Romanus.

Alimfuata Papa Stefano VI. Baada ya miezi michache tu aliondoshwa madarakani akafuatwa na Papa Theodor II.

Tarehe kamili ya kufariki kwake haijulikani.

Tazama pia

Maandishi yake

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads