Papa Simplicio

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Simplicio
Remove ads

Papa Simplicio alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Machi 468 hadi kifo chake tarehe 10 Machi 483[1]. Alitokea Tivoli, Roma, Italia. Baba yake aliitwa Castinus[2] .

Thumb
Mt. Simplisi.

Alimfuata Papa Hilarius akafuatwa na Papa Felix III.

Alitetea maamuzi ya Mtaguso wa Kalsedonia kwa kupinga uzushi wa Eutike[3][4] na alijitahidi kudhibiti matokeo ya uvamizi wa makabila ya Kigermanik walioteka Roma yenyewe na kumweka mfalme wa kwao, Odoakre, badala ya kaisari Romulus Augustus (476)[5] pamoja na kudumisha mamlaka ya Kanisa la Roma katika Ukristo wa Magharibi[2][6][7][8].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Machi.[9]

Remove ads

Tazama pia

Maandishi yake

  • Opera Omnia katika Patrologia Latina ya Migne
  • "S. Simplicii papae Epistolae et decreta," in: Thiel, Andreas (1868). Epistolae Romanorum pontificum genuinae et quae ad eos scriptae sunt, a s. Hilario usque ad Pelagium II (kwa Latin). Juz. la I. Brunsbergae: Peter. ku. 174–220.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads