Papa Stefano V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Stefano V alikuwa Papa kuanzia Septemba 885 hadi kifo chake tarehe 14 Septemba 891[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Adriano III akafuatwa na Papa Formosus.
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads