Papa Stefano VII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Stefano VII alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Januari 929 hadi kifo chake mwezi wa Februari 931[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Stefano de Gabrielli.
Alimfuata Papa Leo VI akafuatwa na Papa Yohane XI.
Stefano VII alikuwa Papa huku Papa Yohane X akiwa bado hai kifungoni.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads