Papa Leo VI

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Leo VI
Remove ads

Papa Leo VI alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 928 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 928 au Januari 929[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Thumb
Papa Leo VI.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo.

Alimfuata Papa Yohane X akafuatwa na Papa Stefano VII.

Leo VI alikuwa Papa huku Yohane X akiwa bado hai kifungoni.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads