Papa Yohane II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane II alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Desemba 532/2 Januari 533 hadi kifo chake tarehe 8 Mei 535[1]. Alitokea Roma, Italia[2] na kuitwa kwanza Mercurius. Kwa kuwa hilo lilikuwa jina la mungu mmojawapo wa Kirumi alilibadilisha, akiwa labda mwanzilishi wa desturi hiyo ya Papa kujichagulia jina jipya[3].

Alimfuata Papa Boniface II akafuatwa na Papa Agapeto I.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads