Parisi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Parisi, O.S.B. Cam. (Bologna, Italia, 1160 – Treviso, 11 Juni 1267) alikuwa mmonaki tangu umri wa miaka 12 hadi alipofariki anayo 108[1].

Kati ya miaka hiyo yote, aliitumia 77 iliyofuata upadrisho wake (1191) katika kuongoza kiroho monasteri ya masista wa shirika lake pamoja na kuhudumia wageni na wagonjwa walioifikia monasteri hiyo[2].
Kutokana na miujiza mingi iliyotokea kwa maombezi yake akiwa hai na baada ya kifo chake, askofu wa Treviso, Alberto Ricco, alimtangaza mtakatifu tarehe 25 Novemba 1268[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads