Paterni wa Avranches

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paterni wa Avranches
Remove ads

Paternus (au Paterne, Patier, Pair, Padarn; Poitiers, mwisho wa karne ya 5 - Scissy, 565 hivi) alikuwa abati aliyeanzisha monasteri mbalimbali hadi Bretagne (Ufaransa) akawa askofu wa Avranches, Normandy kuanzia mwaka 552 hadi kifo chake [1].

Thumb
Mt. Paternus katika dirisha la kioo cha rangi huko Orleans.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Aprili[2][3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Marejeo ya Kifaransa

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads