Robati wa Newminster
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Robati wa Newminster (Craver, North Yorkshire, Uingereza, 1100 hivi – Morpeth, Northumbria, 7 Juni 1159) alikuwa padri mwanajimbo, tena paroko, ambaye aliingia monasteri ya Wabenedikto[1] ambayo baadaye ilijiunga na urekebisho wa Citeaux[2]. Kisha kuishi huko miaka minne alipata kuwa abati wa monasteri mpya (kwa Kiingereza cha Kale Newminster) akiiongoza na kuistawisha kwa miaka 21 hadi kifo chake[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads