Run the Show
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Run the Show" ni wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa muziki wa pop/R&B Kat DeLuna. Wimbo unatoka katika albamu yake ya kwanza ya 9 Lives. Ulitolewa kimataifa ukiwa kama single ya pili kutoka katika albamu yake ya kwanza. Wakati toleo la albamu limetiwa sauti kutoka kwa Shaka Dee[1], toleo la single limeshirikisha rap mpya kutoka kwa Busta Rhymes. Ilipelekwa rasmi kwenye redio kubwa tarehe 15 Januari 2009.[2] Toleo la Kihispania limeshirikisha msanii wa reggaeton Don Omar.
Remove ads
Kutolewa
Wimbo ulianza kuzungushwa kwenye maredio ya Marekani katika juma la 5 Desemba–11 na kufikia nafasi ya 182 kwenye orodha ya nyimbo zinazopigwa sana katika maredio ya Marekani. Iliwahi kufika hadi nafasi ya 45.[3] Ilifikia z100 20 Desemba 2007, na imepokea mapigo ya haja. Wimbo uliingia nafasi ya #88 kwenye Pop 100 na #50, na kwenye Pop 100 Airplay. Wimbo ulitolewa dijitali nchini Marekani mnamo tar. 5 Februari 2008. Toleo la single la Kihispania lilitolewa baadaye kunako tar. 11 Machi 2008.
Kunako 17 Machi 2008, wimbo ulitolewa nchini Ufaransa.[4]
"Run The Show" kwa sasa unapatwa kupigwa sana kwenye televisheni ya Kiaustralia.
Mnamo 2 Juni 2008, single imeingia nafasi ya #41 kwenye chati za UK Singles Chart kwa kupakua peke yake. Kwa kipindi fulani umepatwa kupiga kawaida tu kwenye idhaa za muziki na vituo vya redio vya Uingereza, lakini wimbo umeanguka kufikia chati za kiwango cha juu zaidi ya 41 - hasa kutokana na ukosefu wa promosheni.
Wimbo ulitolewa nchinio Ujerumani mnamo tar. 31 Oktoba 2008.[5]
Remove ads
Muziki wa video
Muziki wa video wa "Run the Show" uliomshirikisha Busta Rhymes umeanza kuoneshwa siku ya Alhamisi, 13 Machi 2008 kwenye tovuti yake, wakati video iliyomshirikisha Don Omar ulianza kuoneshwa mnamo siku ya Ijumaa, 21 Machi 2008 katika Mun2 kwenye Pepsi Musica. Video zote mbili zilioongozwa na Ray Kay.
Toleo la single (akim. Busta Rhymes) Toleo Kihispania (akim. Don Omar) DJ Reis Remix (akish. Lil Wayne na Birdman)
Remove ads
Historia ya kutolewa
Chati
Chati za mwisho wa mwaka
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

