Siardi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Siardi, O.Prem. (karne ya 12 – Mariengaard, leo nchini Uholanzi, 13 Novemba 1230) alikuwa kanoni wa shirika la Premontree aliyeongoza kwa miaka 36 kama abati monasteri alipofariki.

Alikuwa maarufu kwa kushika kikamilifu kanuni na kuwakirimu maskini [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1728.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads