Sousse

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sousse
Remove ads

Sousse au Soussa (kwa Kiarabu: سوسة, kwa Kiberber: Susa) ni mji wa Tunisia, makao makuu ya Wilaya ya Sousse. Iko kilomita 140 (87 mi) kusini mwa mji mkuu Tunis. Mji una wakazi 271,428 (2014).

Thumb
Tunisia, Sousse - mandhari
Thumb
Msikiti Mkuu wa Sousah
Thumb
Lango la Bandari El Kantaoui
Thumb
Bendera ya jumuia ya Sousse
Thumb
Eneo bunge Sousse
Thumb
Chuo Kikuu cha Sousse, Tunisia

Sousse iko katikati-mashariki mwa nchi, kwenye Ghuba ya Hammamet, ambayo ni sehemu ya Bahari ya Mediteranea.

Uchumi wake unategemea vifaa vya usafirishaji, chakula kilichosindikwa, mafuta ya mizeituni, nguo, na utalii. Ni nyumbani kwa Chuo Kikuu cha Sousse. [1][2][3]

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads